GE2025 Prof. Adolf Mkenda aongoza kura za maoni Ubunge Jimbo la Rombo kwa Kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge aliyemaliza muda wake Jimbo la Rombo, ambaye ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 5,125 kati ya 6,156 zilizopigwa.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Mossoud Melimeli amemtangaza Profesa Mkenda kuwa mshindi akifuatiwa na Antony Mseke aliyepata kura 824.

Wagombea wengine katika uchaguzi huo ni Samora Kanje (64), Jackline Silemu (61) na John Nicholous (32).
 
Back
Top Bottom