Mgombea ni Mhe. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hizo political drama zenu endeleeni nazo! πππView attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Huyu huyu anayewaza kuwapa mtihani waombaji wa ajira itaiondolea lawama serikali Kwa kutokuajiri??View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mitano tena tuendelee kulamba asali
Huyu huyu anayemuogopa Mallisa?View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.
Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
HahahahahahahaaaHuyu huyu anayemuogopa Mallisa?