Pre GE2025 Prof. Adolf Mkenda pekee anaweza kukivusha CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda​

Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.

Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.

Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Mgombea ni Mhe. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hizo political drama zenu endeleeni nazo! 🙏🙏🙏
 
View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda​

Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.

Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.

Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Huyu huyu anayewaza kuwapa mtihani waombaji wa ajira itaiondolea lawama serikali Kwa kutokuajiri??
 
Mpaka sasa hakuna anayemfikia
👇
1000011177.jpg
 
View attachment 3062345
Prof. Adolf Mkenda​

Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.

Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana kashfa yoyote toka kugombea Ubunge hadi uteuzi wa nafasi za Uwaziri.

Kuna haja ya kwenda na huyu mwamba maana upinzani utakosa hoja dhidi yake. Nini Maori yako?
Huyu huyu anayemuogopa Mallisa?
 
Nadhani Pinda miongoni mwa watoto wake, mmoja anaweza kuwa Rais wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom