Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, huyu ni Profesa.Kuna Lyatonga mwingine tena? R.I.P
Mdogo wake Mrema originaliKuna Lyatonga mwingine tena? R.I.P
Amekutangulia kila kitu hadi kifo😂😂RIP Mrema, tulipiga sana maji ila ulinizidi.
Huwa najiuliza kwann Pombe inakua faraja sana kwa watu wengi, umri ukienda..RIP Mrema, tulipiga sana maji ila ulinizidi.
Huwa najiuliza kwann Pombe inakua faraja sana kwa watu wengi, umri ukienda..
nimepiga sana nikiwa na umri mddogo ila nimeacha
mi nimepi
Ni Kaka yakeAna uhusiano Gani na Augustine lyatonga mrema
Mbele yetu nyuma yakeApumzike kwa amani Prof Mrema.
Amenifundisha construction materials mwaka wa kwanza na wapili.
Mbele yake nyuma yetu 😭