TANZIA Prof. Alex Lyatonga Mrema hatunae

TANZIA Prof. Alex Lyatonga Mrema hatunae

1. Profesa Alex Lyatonga Mrema wa CoET, UDSM ametutoka.
2. Tuliosoma Civil Engineering, FoE (baadae CoET, UDSM tutamkumbuka daima).
3. Poleni familia na Doreen.
4. Naambatanisha Ratiba ya Mazishi na picha yake.

View attachment 2510472
Kikao cha mazishi bar gani vile maana wachaga ndio zenu

USSR
 
Akina Mrema huu mwezi hauko poa kabisa kwenu,

Ile ajali ya pale Tanga ilichukua akina Mrema wengi.

Mungu azipe faraja familia za wafiwa na roho za marehemu zipumzike mahala pema.
Tofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofauti
Nb; Tanzania kuna Mboya na Kenya pia kuna Mboya so hawa ni watu wawili tofauti
 
Tofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofauti
Nb; Tanzania kuna Mboya na Kenya pia kuna Mboya so hawa ni watu wawili tofauti
Koo za kichaga zipo nyingi na kuna nyingine sio maarufu ila unakutana na Mushi wa Marangu mwingine wa Kibosho mbali kabisa, Macha wa Kirua na mwingine Kibosho, Mallya, Chacky, Mrema, Shayo n.k

Tatizo wasiojua huwa wanakariri. Waambie waulize kwanza ni Mrema wa wapi.
 
Tofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofauti
Nb; Tanzania kuna Mboya na Kenya pia kuna Mboya so hawa ni watu wawili tofauti
Nilichosema hapo ni akina Mrema iwe ametokea Tanangozi, Gamasara au kule Ushetu as long as ni Mrema ni pole kwao.
 
Back
Top Bottom