Kikao cha mazishi bar gani vile maana wachaga ndio zenu1. Profesa Alex Lyatonga Mrema wa CoET, UDSM ametutoka.
2. Tuliosoma Civil Engineering, FoE (baadae CoET, UDSM tutamkumbuka daima).
3. Poleni familia na Doreen.
4. Naambatanisha Ratiba ya Mazishi na picha yake.
View attachment 2510472
Hawajataka macomplicationzhawasafirishi sasa wamestuka
Hawajataka macomplicationzhawasafirishi sasa wamestuka
Haika saHaiyenyi wako Mrema wose na wachaka wose.
RIP Mrema, tulipiga sana maji ila ulinizidi.
Ndio huyo nae kaaga. Apumzike kwa amaniKuna Lyatonga mwingine tena? R.I.P
Tofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofautiAkina Mrema huu mwezi hauko poa kabisa kwenu,
Ile ajali ya pale Tanga ilichukua akina Mrema wengi.
Mungu azipe faraja familia za wafiwa na roho za marehemu zipumzike mahala pema.
Koo za kichaga zipo nyingi na kuna nyingine sio maarufu ila unakutana na Mushi wa Marangu mwingine wa Kibosho mbali kabisa, Macha wa Kirua na mwingine Kibosho, Mallya, Chacky, Mrema, Shayo n.kTofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofauti
Nb; Tanzania kuna Mboya na Kenya pia kuna Mboya so hawa ni watu wawili tofauti
Kama huwez piga mashine tena, you drinkHuwa najiuliza kwann Pombe inakua faraja sana kwa watu wengi, umri ukienda..
Bata raha sanaa
Dah apumzike kwa amani asee. Very sad.1. Profesa Alex Lyatonga Mrema wa CoET, UDSM ametutoka.
2. Tuliosoma Civil Engineering, FoE (baadae CoET, UDSM tutamkumbuka daima).
3. Poleni familia na Doreen.
4. Naambatanisha Ratiba ya Mazishi na picha yake.
View attachment 2510472
Mwenzio ana PhDRIP Mrema, tulipiga sana maji ila ulinizidi.
Apumzike kwa Amani! Kamfuata kaka mapema sana!1. Profesa Alex Lyatonga Mrema wa CoET, UDSM ametutoka.
2. Tuliosoma Civil Engineering, FoE (baadae CoET, UDSM tutamkumbuka daima).
3. Poleni familia na Doreen.
4. Naambatanisha Ratiba ya Mazishi na picha yake.
View attachment 2510472
Nilichosema hapo ni akina Mrema iwe ametokea Tanangozi, Gamasara au kule Ushetu as long as ni Mrema ni pole kwao.Tofautisha Mrema ya Marangu na Rombo ni vitu viwili tofauti
Nb; Tanzania kuna Mboya na Kenya pia kuna Mboya so hawa ni watu wawili tofauti