Prof. Andrew wa UK: Itachukua muda gani kama bomu la nyuklia likirushwa na Russia kufika UK, na itakuwaje kama tukitaka kulitungua

Ina maana Russia tu ndio ana nyuklia wengine hawana?

Na nadhani wameshafanya reaearch wamejua uwezo wa hayo makombora,sio kwamba US na UK hawajui.

Wanajua kila kitu
Shida sio kuwa nayo tu shida dizain za mabomu ya nuke ya russia ....
Wanadizain za kimafia ambazo sdhan ka wenzie wanazo
 
Mtaalamu kama huyo ingekuwa kwetu jibu lake lingekuwa jepesi sana

Mimi sio msemaji wa serikali”

Na kama angeongea angepewa kesi ya kutoa siri za jeshi

Mtu alihoji humu je tuna silaha za kujihami?
Eti majibu ni kuwa siri za Jeshi hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana Russia tu ndio ana nyuklia wengine hawana?

Na nadhani wameshafanya reaearch wamejua uwezo wa hayo makombora,sio kwamba US na UK hawajui.

Wanajua kila kitu
Yeye ameyachambua ya Nato wewe tuchambulie yalobakia mgosi.
 
Kuna siku biden aliota kuwa akiwa anaoga kuna dude likatua kichwani mwake alikurupuka kutoka bafuni akidhani ni Topol au Tsar bomba mabomu ya nuclear ya Urusi kumbe kiuhalisia aliamka toka kitandani na kula mbio zaidi ya SanLG akadakwa mlangoni na walinzi wake kumbe kutokana na kuyawaza manyuklia ya urus ni ya muda mrefu hadi ndotoni kweli Putin shkamoo
 
tatizo la mataifa yenye nguvu uwa na propaganda nyingi mno
 
Ukweli mchungu ni kwamba, vita hii haitaisha leo na kuna asilimia kubwa sana nukes ikatumika pamoja na kwamba wamagaribi hawaamini kama russia atabonyesha button. kwa jinsi alivyopigwa, siku akiamka vibaya anaweza kufanya revange mbaya sana, hasa ikizingatia wao wanaamini as time goes on, NATO itashambulia urusi. litakuwa kosa kubwa sana, lakini shida ni kwamba western countries wana kiburi ambacho hadi wapate madhara ndio huwa wanajifunza. kiburi chao kipo juu kiasi kwamba huwa hawapendi kujifunza na kuzuia madhara.
 
angekuwa mtoto tungeenda kuanika mashuka lapalapa, si unakumbuka zile ndoto za utotoni. unaota unaenda zako toilet fresh, unakuja kustuka upo kwenye dimbwi...
 
Hakuna namna kukawa na vita ya nyuklia kwa sasa...
 
Mambo yanabadilika kweli. Wewe si ndio hautaki hata kusikia Habari za WEST kwamba ni Propaganda? Leo unaamini maneno ya Prof. Kutoka WEST kwa vile tu ameongea kile ambacho unapenda kusikia? Lakini angelisema kwamba UK inauwezo wa ku-INTERCEPT Makombora ya Nyuklia ya Urusi ungeliita ni Propaganda.

Haya bhana,Tuletee na maoni ya Prof. Kutoka Urusi au China tuone anasemaje kuhusu hili.
 
Soma madini mkuu, hizo stori zingine hazikuhusu.

BTW, mie nina uwezo mkubwa wa kuchambua mambo, sio kila kitu kuchukua tu mtandaoni kama mshenya kuni wa usiku wa kiza anakusanya kila kitu hata wadudu hatari (mfano nge, tandu, nyoka) waliopo kwenye kuni na kupeleka nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…