Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wanatia hasira.Sifa za Kuwa Mbunge Tanzania ni kujua kusoma na Kuandika.
Hao wabunge wote sio wawakilishi wa Wananchi hao ni wawakilishi wa CCM
KAZI YAO NI KUITETEA SELIKALI, KUMSIFIA SAMIA NA KUJIPENDEKEZA KUOMBA OMBA.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, amesema "mazungumzo haya, 'unajua Jimboni kwangu barabara...', si mazungumzo ya bunge. Mazungumzo ya bunge ni policy (sera), ni utekelezwaji wa sera za serikali kwa ujumla."
Profesa Assad ametoa kauli hiyo akionyesha kusikitishwa kwake na kiwango cha mijadala inayofanyika bungeni kwa sasa, akisisitiza kuwa wabunge wengi wamejikita katika kudai mahitaji madogo madogo ya majimbo yao badala ya kusimamia na kuchambua kwa kina sera kuu za nchi.
Yale huwa ni maigizo tu, waziri kutoka Zanzibar ataijulia wapi barabara ya Kazuramimba huko Rukwa.Barabara kila mtu anaweza kuomba
Kazurambimba ni Kigoma ndg, sio RukwaYale huwa ni maigizo tu, waziri kutoka Zanzibar ataijulia wapi barabara ya Kazuramimba huko Rukwa.
Hasa hii ndio hoja ya profesa Assad , kweli ni mambo madogo hapo yanayoongelewa asilimia kubwa ni wabunge kulalamika ,bila kujadili kwa kinaUtegemee Mbunge kama huyu achambue Sera?