Prof. Assad: Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama siyo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.

"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni dhaifu, na ni serikali gani inayoweza kudanganywa na mimi? Kimisingi sijawahi kufeli maishani mwangu na nilikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya biashara (commerce) nchi nzima, lakini uamuzi wa kuzuia watu kuingia ofisini kwangu ni sawa na kuweka utaratibu wa hovyo (stupid precedent), jambo linalochochewa na ukweli kwamba katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana, ingawa kwa sasa binafsi naona hali ya uchumi imekuwa nzuri."

is that Muzee okay?

I'm sorry to ask that my friends, ladies and gentlemen 🐒
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.

"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni dhaifu, na ni serikali gani inayoweza kudanganywa na mimi? Kimisingi sijawahi kufeli maishani mwangu na nilikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya biashara (commerce) nchi nzima, lakini uamuzi wa kuzuia watu kuingia ofisini kwangu ni sawa na kuweka utaratibu wa hovyo (stupid precedent), jambo linalochochewa na ukweli kwamba katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana, ingawa kwa sasa binafsi naona hali ya uchumi imekuwa nzuri."

Prof Assad alikosea sana kumuamini Zitto Kabwe kwamba Magufuli aliyekuta uteuzi wake toka JK katiba inamzuia kumtimua. Mtu msomi hakuweza kutambua kwamba rais wa jamhuri tena msomi kama magufuli hashindwi kikatiba kukutoa kwenye nafasi uliyoteuliwa na rais wa jamhuri.
Tangu atenguliwe miaka kadhaa sasa amebakia kulalama.
 
Kama kuna ofisi anaendaga asubuhi anarudi nyumbani anapokea Mshahara kutoka serikalini hakuna shaka ni Mtumishi wa Umma. Ila kama siyo ni Kinyume chake.
 
Hakuna mtumishi wa umma ambaye haelewi yeye ni mtumishi wa umma!
 
Prof Assad alikosea sana kumuamini Zitto Kabwe kwamba Magufuli aliyekuta uteuzi wake toka JK katiba inamzuia kumtimua. Mtu msomi hakuweza kutambua kwamba rais wa jamhuri tena msomi kama magufuli hashindwi kikatiba kukutoa kwenye nafasi uliyoteuliwa na rais wa jamhuri.
Tangu atenguliwe miaka kadhaa sasa amebakia kulalama.
Mahakama imesema ni kinyume na katiba, we unajua sheria kuliko mahakama iliyosikiliza shauri la kikatiba?
 
Kama kuna ofisi anaendaga asubuhi anarudi nyumbani anapokea Mshahara kutoka serikalini hakuna shaka ni Mtumishi wa Umma. Ila kama siyo ni Kinyume chake.
Huyu ni mshaauri wa Rais ikulu
 
Back
Top Bottom