Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
is that Muzee okay?Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.
"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni dhaifu, na ni serikali gani inayoweza kudanganywa na mimi? Kimisingi sijawahi kufeli maishani mwangu na nilikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya biashara (commerce) nchi nzima, lakini uamuzi wa kuzuia watu kuingia ofisini kwangu ni sawa na kuweka utaratibu wa hovyo (stupid precedent), jambo linalochochewa na ukweli kwamba katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana, ingawa kwa sasa binafsi naona hali ya uchumi imekuwa nzuri."
Prof Assad alikosea sana kumuamini Zitto Kabwe kwamba Magufuli aliyekuta uteuzi wake toka JK katiba inamzuia kumtimua. Mtu msomi hakuweza kutambua kwamba rais wa jamhuri tena msomi kama magufuli hashindwi kikatiba kukutoa kwenye nafasi uliyoteuliwa na rais wa jamhuri.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.
"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni dhaifu, na ni serikali gani inayoweza kudanganywa na mimi? Kimisingi sijawahi kufeli maishani mwangu na nilikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya biashara (commerce) nchi nzima, lakini uamuzi wa kuzuia watu kuingia ofisini kwangu ni sawa na kuweka utaratibu wa hovyo (stupid precedent), jambo linalochochewa na ukweli kwamba katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana, ingawa kwa sasa binafsi naona hali ya uchumi imekuwa nzuri."
Hakuna mtumishi wa umma ambaye haelewi yeye ni mtumishi wa umma!Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.
"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni dhaifu, na ni serikali gani inayoweza kudanganywa na mimi? Kimisingi sijawahi kufeli maishani mwangu na nilikuwa mwanafunzi bora wa masomo ya biashara (commerce) nchi nzima, lakini uamuzi wa kuzuia watu kuingia ofisini kwangu ni sawa na kuweka utaratibu wa hovyo (stupid precedent), jambo linalochochewa na ukweli kwamba katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana, ingawa kwa sasa binafsi naona hali ya uchumi imekuwa nzuri."
Au kwan bado anaenda ofisini?Kwani anapokea Mshahara au la..!
Mahakama imesema ni kinyume na katiba, we unajua sheria kuliko mahakama iliyosikiliza shauri la kikatiba?Prof Assad alikosea sana kumuamini Zitto Kabwe kwamba Magufuli aliyekuta uteuzi wake toka JK katiba inamzuia kumtimua. Mtu msomi hakuweza kutambua kwamba rais wa jamhuri tena msomi kama magufuli hashindwi kikatiba kukutoa kwenye nafasi uliyoteuliwa na rais wa jamhuri.
Tangu atenguliwe miaka kadhaa sasa amebakia kulalama.
Hataki kukwaza "ndugu zetu katika Imani"Mbona mzee kama anauma na kupuliza yaani kama ataki anataka ivi kua sehemu ya mfumo
Huyu ni mshaauri wa Rais ikuluKama kuna ofisi anaendaga asubuhi anarudi nyumbani anapokea Mshahara kutoka serikalini hakuna shaka ni Mtumishi wa Umma. Ila kama siyo ni Kinyume chake.