Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali,"

Prof Assad, aliyekuwa CAG

Wiki ya asasi za kiraia

CAG Assad.PNG
 
Kitaalamu kuwekeza vyema katika UCHIMBAJI WA MADINI kunahitaji mtaji usiopungua DOLA MILIONI 500 hadi DOLA BILIONI 1.....

Changamoto iliyopo ni kuwa fedha hiyo inapatikana kupitia MIKOPO yenye riba kubwa....na ili upate faida ni vyema ukapunguza COSTS OF PRODUCTION ili usilegelege kiuwekezaji..... kinyume chake ni ngumu mno kupiga hatua.......
 
Hayati JPM ametuachia nchi ya VIWANDA....

Tukitaka tupige hatua kubwa katika UCHIMBAJI WA MADINI basi tuwe na kiwanda/viwanda vya kutengeneza zana hizi hapa.....

1)Large mining trucks
2)Large dozers
3)Drag lines
4)Wheel Tractor Scrappers
5) Underground Mining Loaders and Trucks
6)Large Wheel Loaders
7)n.k n.k

Siempre JMT
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi Zaidi
 
Magufuli alipigania huo umiliki Lissu akamuambia tutashitakiwa MIGA!
Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....

Kwanini ninasema haya?!!!

Ni Lissu huyuhuyu aliyeipinga serikali ya Tanzania isilijenge bwawa la kufua UMEME LA MWALIMU NYERERE kwa hoja "nzuri tu"....nzuri tu-UHARIBIFU WA MAZINGIRA🤣

Lissu aliLOBBY wabunge wa CDU Cha ujerumani kupinga huo mradi mule BUNDESTAG(bunge la ujerumani) kwa kuwatumia marafiki zake akina David Mc Alister(pichani).....

Mungu si babu yangu hayati mzee Jumbe wala Warioba
IDU_David_McAllister-600x600.jpg
....Leo hii CDU Chaliiiii🤣🤣🤣

Ndugu Lissu abadilike....atubu na kuachana na "makuwadi wa ubeberu duniani"

Aaaaaamin Allah amuongoe aaaamin🙏

YETZER-HATOV

SIEMPRE JMT🙏💪
 
Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....

Kwanini ninasema haya?!!!

Ni Lissu huyuhuyu aliyeipinga serikali ya Tanzania isilijenge bwawa la kufua UMEME LA MWALIMU NYERERE kwa hoja "nzuri tu"....nzuri tu-UHARIBIFU WA MAZINGIRA🤣

Lissu aliLOBBY wabunge wa CDU Cha ujerumani kupinga huo mradi mule BUNDESTAG(bunge la ujerumani) kwa kuwatumia marafiki zake akina David Mc Alister(pichani).....

Mungu si babu yangu hayati mzee Jumbe wala WariobaView attachment 1988844....Leo hii CDU Chaliiiii🤣🤣🤣

Ndugu Lissu abadilike....atubu na kuachana na "makuwadi wa ubeberu duniani"

Aaaaaamin Allah amuongoe aaaamin🙏

YETZER-HATOV

SIEMPRE JMT🙏💪
Wapinzani ni wahuni.
 
Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....

Kwanini ninasema haya?!!!

SIEMPRE JMT🙏💪
Waliona nchi ikiendelezwa na Magufuli watu watazidi kumkubali. Ikawa bora nchi ikose ili Magu asipate sifa! Akili za wanaojiita wapinzani!
Walifanya mengi tu ya aina hiyo, ikiwemo;
1. Kuchochea ndege mpya zilizonunuliwa zikamatwe ughaibuni!
2. Nchi inyimwe msaada na IMF na washirika wengine, nakumbuka kampeni za kina Zitto!
3. Kudanganya(japo walisakamata wachache) kwamba kujenga barabara, flyovers, hospitali, miundombinu ya umeme nk. ni maendeleo ya vitu na siyo watu!
4. Tz watu wanakufa kwa mamilioni kushinda nchi nyingine kwa corona sababu ya msimamo wa Magu!
5. Tushushwe toka uchumi wa kati!
Nk.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kwa hiyo serikali haimiliki mgodi hata mmoja kupitia kampuni yake ya STAMICO!? basi nchi ishaoza hii..........
 
Huyu babu anajitekenya na kucheka mwenyewe ila anyway tumeiona rangi yake halisi...mara ooooh Serikali ya JPM ilificha document na mikataba leo anaongea vingine kabisa..kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu sana, licha ya uprofesa wake anadhalilika
 
Bebhe Sang'udi . Hivi ni wapinzani waliozigawa madini bure kwa so called wawekezaji , au ni serikali hii hii ya Ccm ?!
Wapinzani wanatumiwa na mabeberu katika ku-pressurise huo ugawaji in Mabeberu's favour. Angalia hata suala la chanjo.
 
Back
Top Bottom