Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Haujui siasa wewe.Dohho gete.
Yaani serikali ikubali pressure ya wapinzani ili waingie mikataba mibovu ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui siasa wewe.Dohho gete.
Yaani serikali ikubali pressure ya wapinzani ili waingie mikataba mibovu ?!
Acha kupotosha CAG ndio alisema mwenyewe kwamba Bwawa limejengwa kwa feasibility study/EIA ya miaka ya 1970s kwahiyo haikufanyiwa upembuzi kwa current situation. Ama CAG naye alitumika na Lissu??Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....
Kwanini ninasema haya?!!!
Ni Lissu huyuhuyu aliyeipinga serikali ya Tanzania isilijenge bwawa la kufua UMEME LA MWALIMU NYERERE kwa hoja "nzuri tu"....nzuri tu-UHARIBIFU WA MAZINGIRA🤣
Lissu aliLOBBY wabunge wa CDU Cha ujerumani kupinga huo mradi mule BUNDESTAG(bunge la ujerumani) kwa kuwatumia marafiki zake akina David Mc Alister(pichani).....
Mungu si babu yangu hayati mzee Jumbe wala WariobaView attachment 1988844....Leo hii CDU Chaliiiii🤣🤣🤣
Ndugu Lissu abadilike....atubu na kuachana na "makuwadi wa ubeberu duniani"
Aaaaaamin Allah amuongoe aaaamin🙏
YETZER-HATOV
SIEMPRE JMT🙏💪
Ripoti ya Prof Osoro mbona zilitaja wana CCM watupu kuhusika na ufisadi kuanzia sheria za bungeni mpka kutoa mikataba mibovu. Kama walitumia serikali hiyo hiyo kukwapua madini kivpi watumie upimzami ambao hawana hata jimbo moja nchi nzima?Wapinzani wanatumiwa na mabeberu katika ku-pressurise huo ugawaji in Mabeberu's favour. Angalia hata suala la chanjo.
Ni kweli MIGA inalinda private property za wawekezaji dhidi ya expropriation au uncertainty ya mabadiliko ya kisera ndani ya host country.Magufuli alipigania huo umiliki Lissu akamuambia tutashitakiwa MIGA!
1. Walichochea kivipi wakati walisema serikali iweke wazi sababu za ndege kushikiliwa Canada!! Na hapo kesi ilishatokea wao waliripoti tu sasa kivp walichochea??Waliona nchi ikiendelezwa na Magufuli watu watazidi kumkubali. Ikawa bora nchi ikose ili Magu asipate sifa! Akili za wanaojiita wapinzani!
Walifanya mengi tu ya aina hiyo, ikiwemo;
1. Kuchochea ndege mpya zilizonunuliwa zikamatwe ughaibuni!
2. Nchi inyimwe msaada na IMF na washirika wengine, nakumbuka kampeni za kina Zitto!
3. Kudanganya(japo walisakamata wachache) kwamba kujenga barabara, flyovers, hospitali, miundombinu ya umeme nk. ni maendeleo ya vitu na siyo watu!
4. Tz watu wanakufa kwa mamilioni kushinda nchi nyingine kwa corona sababu ya msimamo wa Magu!
5. Tushushwe toka uchumi wa kati!
Nk.