Vuvuzela amerudi tena?"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali,"
Prof Assad, aliyekuwa CAG
Wiki ya asasi za kiraia
View attachment 1988785
CCM imeuza utajiri wetu"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali,"
Prof Assad, aliyekuwa CAG
Wiki ya asasi za kiraia
View attachment 1988785
Mtaalam anaposhauri kitu weledi huonekana kwa kukipima.....Vuvuzela amerudi tena?
Hata ufipa wamepoteza vyanzo vya mapato....Vyanzo vya mapato tumevipoteza.
Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....Magufuli alipigania huo umiliki Lissu akamuambia tutashitakiwa MIGA!
Wapinzani ni wahuni.Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....
Kwanini ninasema haya?!!!
Ni Lissu huyuhuyu aliyeipinga serikali ya Tanzania isilijenge bwawa la kufua UMEME LA MWALIMU NYERERE kwa hoja "nzuri tu"....nzuri tu-UHARIBIFU WA MAZINGIRA🤣
Lissu aliLOBBY wabunge wa CDU Cha ujerumani kupinga huo mradi mule BUNDESTAG(bunge la ujerumani) kwa kuwatumia marafiki zake akina David Mc Alister(pichani).....
Mungu si babu yangu hayati mzee Jumbe wala WariobaView attachment 1988844....Leo hii CDU Chaliiiii🤣🤣🤣
Ndugu Lissu abadilike....atubu na kuachana na "makuwadi wa ubeberu duniani"
Aaaaaamin Allah amuongoe aaaamin🙏
YETZER-HATOV
SIEMPRE JMT🙏💪
Waliona nchi ikiendelezwa na Magufuli watu watazidi kumkubali. Ikawa bora nchi ikose ili Magu asipate sifa! Akili za wanaojiita wapinzani!Yaani watu aina ya Lissu huwa wanaungwa mkono na watu wajinga wa mambo mengi tu.....
Kwanini ninasema haya?!!!
SIEMPRE JMT🙏💪
Haki ya Mungu.Vuvuzela amerudi tena?
Bebhe Sang'udi . Hivi ni wapinzani waliozigawa madini bure kwa so called wawekezaji , au ni serikali hii hii ya Ccm ?!Wapinzani ni wahuni.
Wapinzani wanatumiwa na mabeberu katika ku-pressurise huo ugawaji in Mabeberu's favour. Angalia hata suala la chanjo.Bebhe Sang'udi . Hivi ni wapinzani waliozigawa madini bure kwa so called wawekezaji , au ni serikali hii hii ya Ccm ?!
Dohho gete.Wapinzani wanatumiwa na mabeberu katika ku-pressurise huo ugawaji in Mabeberu's favour. Angalia hata suala la chanjo.