Prof Assad ndie anaefuata katika listi ya wahujumu uchumi

Prof Assad ndie anaefuata katika listi ya wahujumu uchumi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Baada ya kutishiwa, kuteswa na kushikiliwa kwa muda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha.

Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera chini ya Ulinzi mkali. Operation itaendelea kwa wote wanaoipinga Serikali hii pia listi ikiwa na msanii mkubwa maarufu.
 
Baada ya kutishiwa , kuteswa na kushikiliwa kwa mda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha.Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera chini ya Ulinzi mkali. Operation itaendelea kwa wote wanaoipinga Serikali hii pia listi ikiwa na msanii mkubwa maarufu.
Kuna haja ya kuuliza uchumi uliohujumiwa ni upi sasa, sio tunaswagwa kama ng'ombe tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi rahaa..

wanageukana wao kwa wao na hili la kutekana litaendelea hivyohivyo...na kati yao hakuna aliye salama

hii ni survival of the fittest...ukijeruhiwa fisi wenzio wanakutafuna kitoweo,ilmradi uwe na jeraha au uwe dhaifu

haijalishi we we ndie mzazi au mlezi au kaka ni unatafunwa..na ni kanuni ya mafisi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana usiku wa saa nane nimemuota Kagame, sijui hata kwa nini!
 
Msukuma sio mtu wa kumpa madaraka. Hua yanawalevya wanajiona mungu mtu. Hii dunia tu yana mwisho yuko wapi nguli Idd amin yuko wapi Hitler wote wapo chini ya ardhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutishiwa, kuteswa na kushikiliwa kwa muda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha.

Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera chini ya Ulinzi mkali. Operation itaendelea kwa wote wanaoipinga Serikali hii pia listi ikiwa na msanii mkubwa maarufu.
Acha uongo na uzushi.profesa assad yuko kwake mzma wa afya hakuna.lolote.lililotokea kwake hata yeye anashangaa mnavyosema uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom