Kuna haja ya kuuliza uchumi uliohujumiwa ni upi sasa, sio tunaswagwa kama ng'ombe tu!!Baada ya kutishiwa , kuteswa na kushikiliwa kwa mda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha.Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera chini ya Ulinzi mkali. Operation itaendelea kwa wote wanaoipinga Serikali hii pia listi ikiwa na msanii mkubwa maarufu.
Msukuma sio mtu wa kumpa madaraka. Hua yanawalevya wanajiona mungu mtu. Hii dunia tu yana mwisho yuko wapi nguli Idd amin yuko wapi Hitler wote wapo chini ya ardhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo na uzushi.profesa assad yuko kwake mzma wa afya hakuna.lolote.lililotokea kwake hata yeye anashangaa mnavyosema uongo.Baada ya kutishiwa, kuteswa na kushikiliwa kwa muda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha.
Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera chini ya Ulinzi mkali. Operation itaendelea kwa wote wanaoipinga Serikali hii pia listi ikiwa na msanii mkubwa maarufu.