Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

Ilikuwa ushamba sababu jamaa alikuwa hajui kuiba kwa akili, pia alizoea kuwa kama papaa so unajua ndugu zetu wa huko kidogo mambo ya mjini na ujanja umewapita kushoto ? No wonder alikuwa anatembea na fuko la hela kila anapoenda na kugawa kama kina papaa Msofe
 
Ila linapokuja suala la madawati. Mnatembeza bakuli? Nyumba unaishi hauna maji, badala uvute bomba, unaenda kununua gari halafu maji unaenda kuchota kwa jirani. Unajua bado kuna uhaba wa madawati?
Uongozi wa mwendazake, ukipiga picha ktk shule moja wanafunzi wanakaa chini. Ww hauna bahati, ni jela na faini juu kwasbb siyo Mzalendo
Sasa kama cash ipo kwa nini tusilipe taslimu..
 
Asad nae aliamini atafia ofisini kumbe kwa mbaali watu wanampimia tu na walipoona anunda kamhimili kake pale ofisini wakamkata shingo mapema tu. Sasa hivi hana kichwa.
 
Mbona profesa hajasema hayo unayosema? Sijaona neno ushamba. Acheni upumbavu kusingizia watu.
 
Sasa kama cash ipo kwa nini tusilipe taslimu..
Uchumi level ya nchi sisawa na levo ya familia uelewe,kuna utaalamu wa kiuchumi na hesabu zake kifaida pale unapoingia kwenye big businesses!! Ndege sio bodaboda ulipe cash!! Anayo pesa mbona kunawatoto wanasoma wamekaa chini? Mbona deni lataifa limeongezeka? Msidanganyike kwa maneno ya siasa za kijinga.
Jiwe alijua kilakitu alijipa utaalamu kwenye uchumi,udaktari,kodi,uinjinia,kilimo hakutaka wataalamu wasekta kumshauri.
Ametutia hasara kubwa kwa walichosema waandishi kenya "ukaidi usiofaa"!!
Ukishauri tofauti na awazavyo unageuka adui,unafukuzwa kazi!! Wasaidizi wake walipata shida sana kwakweli
 
Nyinyi hamjui huyu CAG Mstaafu anachofanya,he’s clearing he’s name,hata ile ya 1.5trn ataikana..
History inamuweka katika worst position kama CAG,Ndio maana Ana kana yote
 
Rubbish.
 
Twende tu ula ifafika wakati tutaanza kuukizia zile ndege zetu alizotuachia Magufuli zote zimeuzwa na mafisadi. Hapo ndo tutataka kujua kati ya Mshamba na ao wenyewe elimu kubwa waliostarabika nani alikuwa na Maarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…