Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni kama tu mtu kupewa Urais...Yaliyozungumzwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, kuhusu tukio la Waziri na suala la uvuvi;
"Niliona klipu nyingine ya waziri anashindwa kuelezea value addition ya uvuvi. Sasa value addition ya uvuvi is so basic, lakini unaona mtu ana-struggle kuzungumza mambo ya... na wewe mandate yako ni uvuvi, inakuwaje huwezi kuzungumza kuhusu uvuvi?"
Kwenye maswala yapi? Msomi ni neno pana sana…Waziri si Bashiru! Mbona msomi yule
Kama alivyosema prof kama kitu ni basic ye alishindwa kukitafiti walau kidogo? Uwaziri mi naona hata kina msukuma wanafaaKwenye maswala yapi? Msomi ni neno pana sana…
Hivi hamuoni kitu katikati ya maelezo yake.Waziri si Bashiru! Mbona msomi yule
Anahisi au Unahisi?Hivi hamuoni kitu katikati ya maelezo yake.
Bado yupo kwenye kushambulia chochote cha JPM.
Anahisi Bashiru na wenzie ndiyo walikuwa washauri wakubwa wa JPM,. Walichangia yeye kupigwa chini.
Hoja yake ya msingi kuhusu wanasiasa. Nakubaliana naye.
Wewe unaonaje mkuu?Anahisi au Unahisi?
Kama alivyosema prof kama kitu ni basic ye alishindwa kukitafiti walau kidogo? Uwaziri mi naona hata kina msukuma wanafaa
Assad amesema tusome kiundani tuwe analytical siyo tusome superficial tu.Anahisi au Unahisi?
Alieshindwa ni waziri aliesomea fani hiyo.....cha ajabu kawekwa kwenye ujenzi sasaUnampa mtu uongozi hana uzoefu/idea yoyote kuhusu ufugaji na uvuvi
Unategemea nini
Ova
Na hakumaanisha uyu wa sasaWaziri si Bashiru! Mbona msomi yule
His point was mtu umesoma fani hiyo cha ajabu aupo competent kujibu kitu rahisi kama hicho.....Assad amesema tusome kiundani tuwe analytical siyo tusome superficial tu.
Mtu analytical angeweza kuona hitilafu katika maelezo ya Assad.
"SITAMTAJA MTU NITAELEZEA SIFA TU"
Kisha anamtaja "WAZIRI WA UVUVI" kwa namna ya wale aliyo waona siyo aina ya wanasiasa awapendao.
Au ulisubiri amtaje jina lake kabisa uone amekiuka kanuni aliyojiwekea kutotaja watu mmoja mmoja?
Sidhani kama uliona kosa hilo la kiufundi la Assad.
Huyo ni mnafiki tu 'a sore loser'.
Ingawa hoja yake nzuri ya kuwataka wanasiasa wasome sana na kuwa wachanganuzi wa walicho soma, nakubaliana naye.
Jiwe hakuwa malaika ila shetani kwenye umbo la binadamu.Hivi hamuoni kitu katikati ya maelezo yake.
Bado yupo kwenye kushambulia chochote cha JPM.
Anahisi Bashiru na wenzie ndiyo walikuwa washauri wakubwa wa JPM,. Walichangia yeye kupigwa chini.
Hoja yake ya msingi kuhusu wanasiasa. Nakubaliana naye.
Either way alitakiwa atafute namna ya kutoa mfano asimtaje mtu au jina au cheo chake.His point was mtu umesoma fani hiyo cha ajabu aupo competent kujibu kitu rahisi kama hicho.....
KumbeNa hakumaanisha uyu wa sasa
Kweli hakuwa malaika bali binadamu.Jiwe hakuwa malaika ila shetani kwenye umbo la binadamu.