Prof. Assad: Niliona klipu ya waziri anashindwa kuelezea ‘value addition’ ya uvuvi

Prof. Assad: Niliona klipu ya waziri anashindwa kuelezea ‘value addition’ ya uvuvi

... huyu jamaa anaongea sana, ... ni muda sasa akaanza kujali ustaarabu wa kwake!
😅 NB: ... hii ni kwa faida yake maana siku hizi ukipendeza sana, kisiasa, Bongo, huwezijua nani atapita na wewe! ... na uwezekano mkubwa ni kufichwa na maadui wa serikali ili kuichafua .....!
 
Assad amesema tusome kiundani tuwe analytical siyo tusome superficial tu.
Mtu analytical angeweza kuona hitilafu katika maelezo ya Assad.
"SITAMTAJA MTU NITAELEZEA SIFA TU"
Kisha anamtaja "WAZIRI WA UVUVI" kwa namna ya wale aliyo waona siyo aina ya wanasiasa awapendao.

Au ulisubiri amtaje jina lake kabisa uone amekiuka kanuni aliyojiwekea kutotaja watu mmoja mmoja?
Sidhani kama uliona kosa hilo la kiufundi la Assad.

Huyo ni mnafiki tu 'a sore loser'.
Ingawa hoja yake nzuri ya kuwataka wanasiasa wasome sana na kuwa wachanganuzi wa walicho soma, nakubaliana naye.
Ila walinda legacy🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ila walinda legacy🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Nilitarajia utaleka hoja kunisahihisha au kuongeza ufafanuzi au kupinga hoja, au kuunga mkono hoja yangu kwa hoja.
Labda unioneneshe hapo wapi nimekosea au nimelinda legacy na ya nani?
 
Hivi hamuoni kitu katikati ya maelezo yake.
Bado yupo kwenye kushambulia chochote cha JPM.
Anahisi Bashiru na wenzie ndiyo walikuwa washauri wakubwa wa JPM,. Walichangia yeye kupigwa chini.
Hoja yake ya msingi kuhusu wanasiasa. Nakubaliana naye.
Unahisi sivyo mwenzako kachambua kisomi,huko ulikoenfa ww hakuna uhusiano na alichozungumza kwenye hoja ya mezani
Bashiru ni msomi wa kiwango cha Phd katika kada ya political science na ni Mwalimu xa UDSM siku nyingi kwenye eneo hilo la political science, ila kawa mzembe kwenye eneo alilo pewa kuongoza kwenye wizara yake ya uvivu, hakuna shaka na usomi wake na uzoefu wa political science maana before hachalambiwa Asali Bashiru alikuwa mchambuzi wa maswala ya siasa pia

Otherwise ni Team Bashiru unataka asifiwe ata alipobolonga?
 
Back
Top Bottom