Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

Safi sana ndugu umeongea kwa lugha nzuri ili mazezeta hawa waelewe kuwa Magu kafanya mengi sana ya kutukuka na hata wafanye vipi kumchafua, mema aliyolifanyia taifa letu yatawapinga🤔! Na badala yake wataonekana kuwa wendawazimu!
 
Huenda huyu Prof. Assad alifanyiwa kitu kingine kikubwa sana zaidi ya kutumbuliwa maana sio kwa hizi statements anazozitoa. Ana kinyongo cha kutisha!
Punguza sauti unaposema Prof. ana kinyongo maana kikundi fulani hawataki kusikia ukweli huu. Prof.
 

Brother usipanic sana, ni vyema ukajikita kujadili hoja ili mwisho wa siku majibu yapatikane....

unamkumbuka CAG Ludovic Utoh enzi za JK kabla ya Assad....unambuka namna alivyokuwa akiibua madudu awamu ya nne?.. mbona hakukuwa na shida...

Unafikiri kosa la CAG ni nini?....unahisi hiyo report anayosoma ni fake?...
Unakumbuka yaliyomsibu Assad awamu ya tano baada ya kuonyesha madudu mbalimbalu ikiwemo upotevu wa 1.5tril?....mpaka akaliita bunge dhaifu, unakumbuka pia akina Ndugai walivyomshukui..?... Unajua kama Assad alishawahi kutekwa na kelele za wananchi na akina ZZK zilimuokoa?...
 
Ila Assad alikuwa wapi kusema haya,mbona inakuwa ni kama kumnanga maiti
Wewe ulikuwa wapi pindi MAGUFULI alikuwa rais

Ina maana hukumjua Assad kipindi kile aliyoyafanya na kusema

Unajua Ni kipi kilichomtoa kwenye hio nafasi kinyume na katiba.

Ina maana huzijua Tabia za kishamba za MAGUFULI za kidikteta uchwara .

Punguza ufala amka usingizi

Aliwananga wenzie enzi zake ukijaribu kupinga Kuna matatu utapewa kesi isiyo na dhamana ,ufukuzwe kazi au uishie mochwari na watu hawakujitetea

Sasa Ni zamu yake kupewa za uso kwa bahati mbaya hawezi jitetea tutasema uovu wake wote ili vizazi vimjue kuwa alikuwa rais wa hovyo kutokea Tanzania .

Usituzibe mdomo tuache tuseme
 
Kuliko kufuata ushauri wa profesa wa Tanzania ni bora ukafuate ushauri wa darasa la saba Kishimba utafanikiwa.


Maprofesa muda wote ni theory tu, sasa watu hawali theory
Nenda kafuate ushauri was kibajaji na msukumu

[emoji1787][emoji1787]Fala sana
 
Hakuna asiye na mapungufu mkuu.
 
Mm nadhni Kama taifa tumalize mirad mingine Kama sgr na bwawa ambao imechukuwa pesa mingi pia baada haya ApA ndippo sas tuanze kujenga kwa pesa zetu hzo goddown za bandari kama tuliweza kujenga wenyewe bwawa la nyerere kwa trillion 6 Zaid kwann tushindwe hayo magodown ya bagamoyo
 
Ww unaakili mara 1000 ya prof uchwara Assad!
 
Ww unaakili mara 1000 ya prof uchwara Assad!
Acha tu bwan Hero tunataka kupasa sauti zetu lkn wapi hatusikilizwi. Kuliko kupoteza muda na wachina Ni Bora tumalize angalu bwaawa alfu tujikite huko huko na Kama pesa azitoshi ndipo sas tunaweza kukopa angalau half of it au 30 % ili kupunguza risk za heavyl burden mbeleni
 
Huyo proff anaj.amba jamba tu...
ilitakiwa aongee wakati Magu yupo.....ajibiwe
aache unafiki
Ajibiwe? Kama alinusurika kwa kuliita bunge dhaifu unadhani angenusurika tena? Jamaa alikuwa jiwe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…