Tusi ni kitu ambacho ni subjective and its not objective at all, na kama umeisha wahi kuchunguza,mara nying mtu akiambiwa ukweli huwa anasema ametukanwa,kitu ambacho kwa karne ya sasa hakina mantiki yoyote, ukiharibu, lazima uambiwe kuwa umeharibu na ukiiba lazima uambiwe kuwa umeiba na siyo vinginevyo, huo ndo ukweli na uwazi.Kama unaona kuwa wewe umetunkwa, tuna chombo kinachotafasri sheri, Mahakama, nenda huko ukasake haki yako na siyo kuanza kulalama na kutafuta huruma za wananchi mnaowaibia kila siku, nyie mnaendelea kunenepa wao wanendelea kukondeana.Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika kuzindua Kampeni zao.
Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:
- Lugha iliyotumika katika Ufunguzi wa Kampeni za Chadema ni ya Uwazi Zaidi na si Matusi kama inavyodaiwa.
- CCM watofautishe kati ya Ukweli na Kutukana
- Tatizo lao kubwa nia Kashfa ya EPA
- Asema suala la EPA hata Mahakamani hazijaonysha Sura kamili
jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOKKiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika kuzindua Kampeni zao.
Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:
- Lugha iliyotumika katika Ufunguzi wa Kampeni za Chadema ni ya Uwazi Zaidi na si Matusi kama inavyodaiwa.
- CCM watofautishe kati ya Ukweli na Kutukana
- Tatizo lao kubwa nia Kashfa ya EPA
- Asema suala la EPA hata Mahakamani hazijaonysha Sura kamili
jamani mmepata habari ya masha kuwa NEC INMETENGUA USHINDI WAKE WA MEZANI KAMA INAVYOSOMEKA KWENYE WALL YA MASHA KWENYE FACE BOOK
Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea! Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now start my campaigns on the 14th of September!
KAZI IPO WA NDUGU
Eti gazeti la habari leo limeandika hii story, upuuzi mtupu.Kuna ndugu alisema jana kuwa kuna magazeti yameandaliwa kuimaliza chadema, lakini kwanza yajenge credibility kwa wasomaji kuwa hayko biased ili yakija kuibomoa chadema watu waamini.Chadema be careful an habari leo, waambieni wananchi kuwa hilo gazeti lina ajenda ya siriProf.baregu na makamba? Kichuguu na mlima
SUPERMAN unaonekana uko karibu na timu ya Kampeni ya CHADEMA, waamnbie kuwa Govy machinery inatumika kuwapotosha wananchi kuwa CHADEMA kwa kuweka hilo pingamizi inataka mishahar hiyo isitishwe. Hivyo watow ufafanuzi vizuri CHADEMA inapainga na nini kilikosewa. Wasoiwaachie waandishi wa habari bila ya kuwalisha vilivyo na makos yaliyofanyika kwa kuwa hata waandishi wengi hawajui separation of powers between the three organs State. Legisalature na Judiciary
Natamani kipengere hiki nimpatie Makamba mkononi mimi mwenyewe."Kwa habari ya elimu, labda mimi naweza kuwa katika nafasi nzuri ya kulizungumzia hilo kuliko Makamba, katika hali halisi, maana mimi ni Profesa, nina Shahada ya Uzamivu (PhD), lakini wazazi hawakuwa na elimu waliponisomesha, kama anasema mgombea wetu ni mbumbumbu, anawatusi Watanzania wenye elimu hiyo, ambao ndio wapiga kura," alisema Baregu.