Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika kuzindua Kampeni zao.
Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:
Akiongea na ITV katika kipindi cha Taarifa ya Habari leo saa 2.00 Usiku; Prof. Baregu aliweka wazi kuwa:
- Lugha iliyotumika katika Ufunguzi wa Kampeni za Chadema ni ya Uwazi Zaidi na si Matusi kama inavyodaiwa.
- CCM watofautishe kati ya Ukweli na Kutukana
- Tatizo lao kubwa nia Kashfa ya EPA
- Asema suala la EPA hata Mahakamani hazijaonysha Sura kamili