Kwanza kabisa napongeza sana hizi harakati, pamoja ya kwamba mtaji mkubwa wa CCM ni upumbavu wetu wananchi. Tunawashukuru wapambanaji hawa wa Chadema kwa kujitoa Muhanga kuwapigania watanzania hawa hawa wanaoendelea kuwa mtaji wa CCM na watoto wao, yaani makamba na wanae, Kikwete na wanae kwa kodi zetu. Swala la TBC na sasa Habari leo lisifumbiwe macho, Tido na wanawe ashughulikiwe maana hizi ni kodi zetu, kiburi hicho wanachokitoa kwa kuwa tu walipewa kazi hizo wakati hata uwezo hawana ni tatizo kubwa. Basi kwa kuwa viongozi wa Serikali ndio wa CCM, basi hatuhitji kumpelekea kesi ya nyani ngedere, tuwashitaki kwa wananchi tuone kama kesho wataenda kazini. Msishange makamba kujilinganisha na wapambanaji wa Chadema, tena kwa elimu hiyo ndio culture yao, si ndio maana anamuona mgombea wake nae ni dokta? hawa watu hawaheshimu hata miaka wenzao wanayokaa darasani ndio maana hata wameshindwa kuboresha elimu, mwacheni aendelee na ushuzi wake mimi hauniumizi kichwa, mwacheni aharishe sana akidhania ndo keshafika, nimesikia akiongelea uaminifu na nimefurahishwa na Prof kumjibu kistaarabu ila hapa JF tutamjibu ki uwazi, hivi tukianza kutafuta uaminifu na mambo ya below the belt ni nani mwenye watoto kila mtaa? Hebu wanyamazishe vijarida vyao maana watu wako tayari wasifananishe hawa wapambanaji na Bashe hili taifa kubwa sio lele mama. Urais hauji kwa mabango wamesalimiwa tu ni hekaheka, huyo kinana nae utasemaje meli ni yako mzigo haukuhusu aangalie kubenea asije akalisikia hili, maana tunafahamu kinachoendelea na watanzania wa leo sio mapumbumbu, mchakato na uendelee...