Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Katika kipindi cha 360 - Clouds Tv jana usiku kulikuwa na Prof Baregu na Humphrey Polepole wote wakiwakilisha vyama vyao ila kilitokea kituko kimoja ambacho sitakuja kusahau mara baada ya Prof kusema mgombea wao anasimamia kuipata katiba mpya chini ya rasimu ya II ya Katiba... Polepole alimuuliza Prof hivi ni nani alieratibu mpango wa kuikataa rasimu ya II ya Katiba ndani ya CCM..? Prof alionekana kukosa jibu .. Polepole akamuambia tena Prof kuwa mkweli leo nai aliratibu mipango ile.? Polepole akaendelea kufafanua kwa kumuambia Prof mwenyewe ulikuwepo kwenye vile vikao wote tulikuwepo na ukweli unaujua leo kipi kinakufanya uamini mtu yule anaweza kukuletea katiba ile....? Prof maskini alikosa majibu pale nae nikaona anainama chini tu.....
Prof nilikuwa nakuamini sana ila jana umesikitisha na kunifanya nikuone nawe mchumiaa tumbo tu kwani kama ungeweka msimamo kama uliokaweka pale Chadema walipokuambia usiende kwenye tume ukawajibu TAIFA KWANZA ..CHAMA BAADAE basi ningekuiona shujaa leo japo kwakutuonyesha watanzania nani aliratibu mpango wa kukataa rasimu ile nasi tungewakumu bila kuwaangalia usoni ila nawewe umekuwa mshabiki na mtu wakulusha vijembe kweli Prof.....?????