Prof: Baregu ameshindwa kumtaja aliratibu vikao vya kuikataa rasimu ya II ya Katiba CCM

Prof: Baregu ameshindwa kumtaja aliratibu vikao vya kuikataa rasimu ya II ya Katiba CCM

Hivi alikua na kina nani wakati anaongoza?and now yuko na kina nani tena?

Umeuliza swali zuri sana kuwa alikuwa na akinani wakati anaongoza…??? Sasa apo akiwa anaongoza naomba uwekee mstari alafu unipe maana ya kiongozi alafu uniambie ndie huyo munaemtegea atuongoze au?
 
Rasimu ilichakachuliwa na Lowassa akishirikiana na swahiba wake Chenge. Kuna vipengele vilikuwa vinawabana wao mafisadi. Hii kusema ataiendeleza ni kiini macho. Na polepole anasema Lowassa hataki serikali tatu maana rais wa muungno hana nguvu kivile ukilinganisha na wa Tanganyika maana ndo mwenye mali zote za Tanganyika
 
Back
Top Bottom