Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu ni profedheha kama kabudi hana hata maana wala la maana. Jina lenyewe tosha eti chijoriga joriga joriga maaaviHivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.
Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.
Apeleke huko Usenge wake.Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.
Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.
Prof this is for youHivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.
Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.
Anaye ndugu ama mtoto aliyeuawa? Kama hana basi ni mpuuzi kama wapuuzi wengineHivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?
==
Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, Prof. Marcelinna Chijoriga, amesema kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni lazima watu wakubaliane na yaliyotokea Oktoba 29, 2025, na kusameheana ili taifa lisonge mbele.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani kinachorushwa na TBC1, Prof. Chijoriga amesema kuwa ingawa ni ngumu kwa wale waliojeruhiwa au kupoteza ndugu zao, ni lazima watu wasamehe na kusonga mbele kama taifa.
Prof. Chijoriga ameongeza kuwa, hali ilivyo ni kweli kuwa watu wamepoteza ndugu zao, na wapo waliopoteza hata mali zao kutokana na machafuko yaliyotokea; bila kusameheana, taifa halitaweza kusonga mbele.
Ni kweli kabisa bila kusameheana maisha hayataenda .
Ila kusameheana kwa namna gani , nani amsamehe mwenzakw na nani asamehewe! Nani mkosa nani mkosewa,.
Mkosaji atahakikisha vipi kutorudia kosa , ndio maana kuna sehemu za kusuhisha ambayo ni mahakamani.
Professor uchwara. Wewe unadhani kusamehe inakuja tu. Kwa nini husiseme huyu kibibi ajiuzuru kwa sababu hakuchaguliwa. Itakuwa ni ujinga mkubwa sana mtu anaingia madarakani kwa hila kabisa harafu anaua watu then unakuja na kusema tusameheane. Pumbavu sana weweAnaye ndugu ama mtoto aliyeuawa? Kama hana basi ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
Hivi unamsameheje mtu ambaye hata kukiri makosa yake hataki?Hivi kwanini wanataka raia tuwasamehe na siyo kuwataka watu wao wawajibike kwa uovu wao? Kwahiyo sheria zilitungwa kwa ajili gani ikiwa wahalifu hawashughulikiwi?