Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
View: https://www.facebook.com/share/v/19BrKdjimT/
Kuna clip inatembea ikimwonyesha Prof Ichumbaki akieleza kile wananchi wengi wamekuwa wakisema , kuwa CCM ya sasa imeshindwa kuisimamia Serikali, na Serikali inafanya mambo kinyume na matakwa ya wananchi.
This is serious.
CCM sasa ni Idara ya serikali, na kwa chama ku sink this low ina maana chama ni mufilisi.
CCM haikulaaani mauaji ya Okt 29 na kimekaa kimya muda wote huo.
Sasa wengine wanajiuliza CCM inamuwakilisha nani?
CCM kwa sasa ni chama cha mabwanyeye.
Bahati mbaya sana Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Ndg Wassira ameshindwa kujibu dongo hilo zito kama mtu aliyeenda shule.