MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #21
God created the Good & the evil. Ni kuchagua tu , unataka ukumbukwe kwà yapi utakapo ondoka.Duniani ukiwa mwema unasindikizwa na comments mzuri.
Ndiyo mkuu nitakosaje kwa mfano?Hongera sana Ndugu. Vipi, Ulikuepo leo hapa Dom?
AmiinApumzike mahala pema baba mkwe
Mno. Mungu amlaze pema.Alikua na roho ya utu
Ok, kumbe ndio wewe ambae ulikua umevaa shati fulani hivi...ukawa unasalimiana na kina Mhe. Mavunde pamoja Mhe. Mtaka? Nilikuona Ndugu.Ndiyo mkuu nitakosaje kwa mfano?
AminaMno. Mungu amlaze pema.
Moro anakaa wapi huyo prof.Ok, kumbe ndio wewe ambae ulikua umevaa shati fulani hivi...ukawa unasalimiana na kina Mhe. Mavunde pamoja Mhe. Mtaka? Nilikuona Ndugu.
Jitahidi na Jumatatu uwepo Morogoro , siku ya mazishi.
Ukifika tu hapa "Glonency 88 Hotel". Tayari unakua umefika.Moro anakaa wapi huyo prof.
Mwalimu alikuwa mpole sana, madini mengi kichwani jamanii looh!R.I.P Prof. Mbiha
Ayu 1:21 SUVMwalimu alikuwa mpole sana, madini mengi kichwani jamanii looh!
KabisaDuniani ukiwa mwema unasindikizwa na comments mzuri.
Tuishi na watu vizuri.Kabisa
Ok, kumbe ndio wewe ambae ulikua umevaa shati fulani hivi...ukawa unasalimiana na kina Mhe. Mavunde pamoja Mhe. Mtaka? Nilikuona Ndugu.
Jitahidi na Jumatatu uwepo Morogoro , siku ya mazishi.
We jamaa bhana!Ndiyo mkuu mtaka alikuwa school mate wangu japo aliniacha shule na mavunde alikuwa shemeji yangu kwasababu mdogo wake nimemla mla sie ndiyo watoto wa Area D
U?We jamaa bhana!