MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #21
God created the Good & the evil. Ni kuchagua tu , unataka ukumbukwe kwà yapi utakapo ondoka.Duniani ukiwa mwema unasindikizwa na comments mzuri.
Mungu hapendi kabisa waliovuguvugu. Anapenda watu waliofanya maamuzi ya kutenda wema, au uovu wangali bado hai.