and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Profesa Amekuza vijana wasomi nchin na duniani. Ameondoka UDSM 2006 akiwa na nguvu. Wewe kijana upo Halmashauri ya Kaliua umebweteka na madiwani wasiojielewaPole kwa wafiwa. Ukoo wa bibi yangu, atakuwa msibani usiku huu.
Kabaki Prof. Kilama pale