TANZIA Prof. Erasmus Kaijage PhD afariki dunia

Profesa Amekuza vijana wasomi nchin na duniani. Ameondoka UDSM 2006 akiwa na nguvu. Wewe kijana upo Halmashauri ya Kaliua umebweteka na madiwani wasiojielewa
Sidhani kama hii quote ilikuwa inanihusu. Umeandika vitu havihusiani
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa,
Jina la Bwana lihimidiwe.
 
MTU unaweza kuuliza kwanini afe huyu na waliosaini mkataba wa DP w wanatanua.
Kwanini vilaza Kama Kitenge, Zimwimbwela, msukuma, Manara na Steve Nyerere waliohongwa vipande 30 vya fedha wapo na wanaweka magari walihongwa. Plate za. MAJINA Yao.
 
Hata kama una ka degree au ka diploma ni umaamuma kuweka sijui O'level or High school.
Nimesema hivyo kimkakati. Mara nyingi wanaoanzia diploma badala ya digrii Moja kwa Moja, super glue inshusika mahali
 
Nimesema hivyo kimkakati. Mara nyingi wanaoanzia diploma badala ya digrii Moja kwa Moja, super glue inshusika mahali
Kwenda high school ni maamuzi wala haina ulazima. Wengine wakimaliza O'level hupita njia ya vyuo jadi kufika huko. Prof. Mwandosya na Prof. Martin Luhanga ni miongoni mwa ambao hawakupita hiyo njia ya form 5 na 6.
Tena Prof. Mwandosya hata Master hakuwahi kusoma, lakini ana PhD.
So haifai kusoma kwa kukariri
 
Poleni sana

I hope ana impact Kwa Jamii Pia kuliko papers
 
Prof. MARTIN Luhanga ndio namsikia leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…