Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa.
Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu. Alikaa Hospitali mpaka ilipofika tarehe 6/12/2024 alipohamishiwa Muhimbili. Akiwa kule Muhimbili iligundulika kuwa moyo wake umetanuka na Figo hazifanyi kazi vizuri.
Gharama za matibabu ya “Dialysis na ICU” zilifikia shilingi milioni 5. Baada ya marehemu kufariki ndugu hawakuruhusiwa kuchukua mwili kwa sharti mpaka wamelipa milion 5 deni la matibabu familia haikuwa na Ml5, SERA ya kumtoza deni Maiti niya kikatili naya fedheha Tunatoa wito kwa Serikali na hasa Rais Dkt Samia kama mama kuachana na sera hii."