Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
Tatizo mnabanwa na ushabiki hata hamuelezei tatizo la hoja ya Shivji lipo wapi.
Uko sahihi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mnabanwa na ushabiki hata hamuelezei tatizo la hoja ya Shivji lipo wapi.
Warioba katengeneza Rasimu inayoonesha kuwa nchi 3 (Zanzibar, Tanganyika & Muungano) zina hadhi sawa, sasa umewahi kuona wapi ndani ya nyumba baba, mama na watoto wana hadhi sawa na nyumba ikawa salama? Huyo ndio "jembe" unayemsifia?
Ni sahihi kuwa na chako changu wakati chako chako? Hapa ni serikali tatu au moja ndiyo jibu sahihi. Shivji anajaribu kutetea Zanzibar yake iendelee kunyonya TANGANYIKA yetu. tumesha amkaa!!!
Mkuu hapo umedondokea pua! If u read between lines prof amepangua hoja za warioba kwa hoja nzito. Isitoshe hoja za warioba kama alivyoeleza prof baadhi Hazina ushahidi wa kitaalamu. Lakini ukweli unabaki pale pale kwamba warioba hawezi kujigamba kwamba maoni ya watu laki 3 na ushee ndio ya watanzania zaidi 40 mil! This is ridiculous!
Uko sahihi. After all, wakati akiwa waziri mkuu kasoro za muungano hakuziona? Alichukua hatua gani kudai serikali ya Tanganyika enzi hizo? Huyu Mzee alikuwemo kwenye lile kundi la Njelu Kasaka? Ni lini ameunga mkono hoja za mtikila za utanganyika? Tume imetumiwa kama uchochoro wa kupitishia hoja za watu waoga kwa kutumia kigezo cha maoni ya watanzania elfu arobaini!Warioba hata serikali ilimshinda kuendesha alipokuwa waziri mkuu leo atakuwa na lipi jipya la maana.
Tatizo mnabanwa na ushabiki hata hamuelezei tatizo la hoja ya Shivji lipo wapi.
Kweli maana mawazo yake anayafanya kuwa ya wengi!Sema umeamka kwa mtazamo wako
Sijasomea sheria ila kwa uchambuzi wa prof umesimama , warioba anataka kunyima uhuru wa bunge la katiba , ni ngumu sana wajumbe wote wale wa bunge la katika wasione cha kupunguza au kuongeza. MM nadhani Bunge la katiba liwe na uhuru wa kuijadili kwa upana.
NB: muundo wa serikali 3 ndani ya taifa moja binafsi si ukubali kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuelewa hoja za prof inahitaji weledi, Mzee kama uliishia la saba hutamuelewa profesa. We we unafaa kuchangia siredi za udaku na porojo za kijiweni sio za uchambuzi wa kisomi. After all sio lazima uchangie kila hoja!
Warioba katengeneza Rasimu inayoonesha kuwa nchi 3 (Zanzibar, Tanganyika & Muungano) zina hadhi sawa, sasa umewahi kuona wapi ndani ya nyumba baba, mama na watoto wana hadhi sawa na nyumba ikawa salama? Huyo ndio "jembe" unayemsifia?
kama shivji anampinga warioba kwa hili, hana jipya. hata kama anafahamika duniani kama prof, yeye ni mwanadamu si malaika anaweza kupotoka wakati mwingine, na katika hili, shivji hana lolote, if shivji had any value to add on this katiba, basi serikali ingemchagua hata kwenye tume ya warioba au hata bunge la katiba tu, waliona hana maana. akili nazo huwa zinazeeka, usiabudu watu hata pale wanapopotoka. kwa waliosikiliza hotuba ya warioba kama kuna mtu hajaelewa na bado anapingana naye, basi huyo mtu ni mbumbumbu kabisa kabisa na hatutakiwi hata kubishana na mtu kama huyo tutakuwa tunapoteza mudaMwalimu masikini we we ni masikini hata kwenye ubongo! Prof anafahamika hata nje ya tz kwa umahiri wake. We we kutomuelewa ukiwa darasani (kama kweli alikufundisha) haimuondelei unguli wake kitaaluma. Fanya uchambuzi, ibua hoja jibu kwa hoja!
Bado kazi IPO. Kwa ufahamu wako nisaidie aliyejenga hoja zake kwa kutumia refence mbali mbali kusupport kile anachokiamini na yule aliyetoa hoja kibubusa nani kazeeka kwenye ubongo? Wasomi tunaelewa kwamba no research no right to say. Warioba hakutaka kuishuhulisha akili yake badala yake alijikita kwenye kile alichokiamini yeye.kama shivji anampinga warioba kwa hili, hana jipya. hata kama anafahamika duniani kama prof, yeye ni mwanadamu si malaika anaweza kupotoka wakati mwingine, na katika hili, shivji hana lolote, if shivji had any value to add on this katiba, basi serikali ingemchagua hata kwenye tume ya warioba au hata bunge la katiba tu, waliona hana maana. akili nazo huwa zinazeeka, usiabudu watu hata pale wanapopotoka. kwa waliosikiliza hotuba ya warioba kama kuna mtu hajaelewa na bado anapingana naye, basi huyo mtu ni mbumbumbu kabisa kabisa na hatutakiwi hata kubishana na mtu kama huyo tutakuwa tunapoteza muda
Bado kazi IPO. Kwa ufahamu wako nisaidie aliyejenga hoja zake kwa kutumia refence mbali mbali kusupport kile anachokiamini na yule aliyetoa hoja kibubusa nani kazeeka kwenye ubongo? Wasomi tunaelewa kwamba no research no right to say. Warioba hakutaka kuishuhulisha akili yake badala yake alijikita kwenye kile alichokiamini yeye. Kwa mtazamo wako anayeweza kupotoka ni prof shivji tu!!!!kama shivji anampinga warioba kwa hili, hana jipya. hata kama anafahamika duniani kama prof, yeye ni mwanadamu si malaika anaweza kupotoka wakati mwingine, na katika hili, shivji hana lolote, if shivji had any value to add on this katiba, basi serikali ingemchagua hata kwenye tume ya warioba au hata bunge la katiba tu, waliona hana maana. akili nazo huwa zinazeeka, usiabudu watu hata pale wanapopotoka. kwa waliosikiliza hotuba ya warioba kama kuna mtu hajaelewa na bado anapingana naye, basi huyo mtu ni mbumbumbu kabisa kabisa na hatutakiwi hata kubishana na mtu kama huyo tutakuwa tunapoteza muda