Prof. Issa Shivji: Sheria mpya inaenda kuua uzalendo na uwajibikaji wa viongozi wakuu wa mihimili, na nguvu za mihimili anaenda kupewa Rais

...ina maana kuwa?madudugani yanayoendelea, misamaha, kufukuzana bungeni, "kuongezeana muda" n.k hayataweza kuja kuulizwa uhalali wake?

Vurugu kwa watu wa mtandaoni na vyama vya siasa visivyo madarakani pamoja na viongozi wake, hawataweza kushitaki tabia za miungu watu walio serikalini?

Kama kunasehemu ambayo nimeelewa vizuri ni pale Prof. aliposema. ..."
If the President had been properly advised by his Attorney General on the implication of this provision, maybe he would have rejected it. Maybe he still will."

...ina maana aidha kuna watu au makundi wanaosaidiwa na mabeberu wanamlengesha kubaya Mh. Raisi?
...au? ni mipango ya kimkakati ya chama tawala kuwa chama tawala milele? sielewi!

What are or what were the intention
of the "draftsman" or men? Who are they? can they be litigated?

njaa sasa changombe kwa mama ntilie!
 
Alafu huyu mtu anaetuharibia nchi ndio anfananishwa na Mungu!!

Muda utasema.

Kwani ninyi binadamu huwa mnalizika?
Hata subila huwa hamkonazo sasa cha ajabu ni nini?
Kama enzi ya musa na wayahudi wakitoka misri baada ya musa kuwaacha na kwenda mlimani kumuomba mungu, aluporudi akakuta kila mtu ana mambo yake, watu wamechoka kusubili mambo ya mungu.
Yesu kristo alikuja kuwapa habali njema ya wokofu, lakini wakampiga na kumuua sasa itakuwa magufuli?
Najua hata leo yesu angekuwapo mitaani mungempiga bila uoga wala huruma , ila kwa kuwa hayupo ndo mnajifanya kumtukuza.
 
Mzee shivji atuwekee hiyo katiba ya zamani ilikuwa inasemaje kuhusu hao viongozi, na hii ya sasa inasemaje ili tulinganishe.
Lakini kutwambia bila reference ni kutupotezea muda tu,
Maana navyojua ni kwamba raisi kupitia katiba ya zamani bado ana kinga ya kutoshitakiwa,
Pili kuhusu Spika sijawahi kumuona akienda mahakamani kwa kosa la kibunge,
Huwa naona maakili waserikali ndo wanasimama sasa atupe tofauti ili tujue nini kimeongezwa au nini kimepunguzwa.
 

Prof Hon Minister P. Kabudi, please karibi sana hapa jamvini kiongozi, utuletee counter avidity tuweze kupima pumba na mchele.
K
Ni hayo tu kwa leo
 
The heads of these three state pillars of governance have, jointly and severally, colluded to suppress the constitutional rights of the people of this country.

Having done that, they've found no other way but to manipulate the law so as to get the immunity from possible criminal prosecution in the future.

But how will this fake stratagem help them avoid the long arm of the law for the foreseeable future, remains to be seen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…