Sikubaliani naye maana lazima useme kwanini unamuogopa/unampenda, msomaji ataopenda kujua hayo. kama katika story yako hujafanya hiyo, basi hakuna kitu cha maana. msomaji atakuwa na hamu kujua phobia/philia vinaletwa na nini!rather ameona hiyo sio kazi ya msomi wa level yake.