Sikubaliani naye maana lazima useme kwanini unamuogopa/unampenda, msomaji ataopenda kujua hayo. kama katika story yako hujafanya hiyo, basi hakuna kitu cha maana. msomaji atakuwa na hamu kujua phobia/philia vinaletwa na nini!rather ameona hiyo sio kazi ya msomi wa level yake.
Daaah! Huyu mzee nae ni shida, nitamsoma.Pata andiko tamu kabisa toka kwa nguli, mwanazuoni na msomi Prof Issa Shivji akichambua utawala wa Magufuli na siasa za Tanzania.
Article/Andisho limeambatanishwa.
===
View attachment 2446416
View attachment 2446417
View attachment 2446419
View attachment 2446420
View attachment 2446422
View attachment 2446423
View attachment 2446425
View attachment 2446424
View attachment 2446426
Kazi kwako.
Kazi hiyo amewaachia mataahiraSikubaliani naye maana lazima useme kwanini unamuogopa/unampenda, msomaji ataopenda kujua hayo. kama katika story yako hujafanya hiyo, basi hakuna kitu cha maana. msomaji atakuwa na hamu kujua phobia/philia vinaletwa na nini!
Nimeinyaka hiiShivji ameshindwa/ameacha makusudi kusema Tanzania wa a failed state under Magufuli's tyranny
A failed state is composed of feeble and flawed institutions. Often: The executive barely functions, the legislature, judiciary, bureaucracy, and armed forces have lost their capacity and professional independence.
DialecticsDaah! Ngoja nitafute kwenza dikshonare niweze kuelewa kilichoandikwa.
Kumbe ndio sababu. Alichukia upinzani hasa Lowasa alipohamia huko mtu aliyekuwa mpinzani wake ndani ya chama, hivyo akapanga au kuzidisha chuki kwa upinzani.
YinYangPata andiko tamu kabisa toka kwa nguli, mwanazuoni na msomi Prof Issa Shivji akichambua utawala wa Magufuli na siasa za Tanzania.
Article/Andisho limeambatanishwa.
===
View attachment 2446416
View attachment 2446417
View attachment 2446419
View attachment 2446420
View attachment 2446422
View attachment 2446423
View attachment 2446425
View attachment 2446424
View attachment 2446426
Kazi kwako.