Prof Issa Shivji: The war between Russia and Ukraine

Hapa sasa nimeona hata umuhimu wa degree yangu.
 
Sijui hata kama unajua ulichoandika ,
Wako watakaojua nilichoandika hata wewe hujui nilichoandika achia wengine .Darasa ukifundisha si lazima ukifundisha kila mtu aelewe wako ataelewa na wako hawataelewa wewe mmoja ambaye hujielewa nilichoandika ! Sio kesi
 
Hata ku defend thesis ya degree huhitaji mabishano sembuse vita ya Russia na Ukraine?
Mkuu dhamira yangu ni kuonyesha namna ubishani juu ya vita hii kwa hapa Tanzania usivyokuwa huru....

Nmeona sehemu fulani udini ukiingizwa matusi na hoja zisizo chambulika.

Kwa profesa kaleta hoja na msimamo wake kaweka vyema.
 
Yeye kachagua side yake Kama wewe ulivyo take side upande wa Western na US shida yenu pro-Nato +us mnataka kila kitu watu waimbe mnavyo taka nyie akienda tofauti basi ni mnafiki.
 
Yeye kachagua side yake Kama wewe ulivyo take side upande wa Western na US shida yenu pro-Nato +us mnataka kila kitu watu waimbe mnavyo taka nyie akienda tofauti basi ni mnafiki.
Ok kila mtu yuko huru si tu kuchagua side lakini asiingioze mbwebwe za ohh me as academician of high level nasema !!! No no no aseme tu this is my personal stand on this issue it has nothing to do with my qualification , religious affiliation or whatever

Sababu in debate of anything mtu akimwambia mjinga unatakiwa umwambie ok huo ni muono wako nauheshimu kuna watu wananiona nina akili sababu before discussion ulisema hivyo kuwa ni personal perspective . Lakini ukisema as academicians highly renowned unataka nini ? Kufunga hoja based on your qualification or what? Hiyo haitakuwa debate you want to close the debate !! Wakati debate inatakiwa kuendelea!!

Tu debate kwa hoja tu who is who tuachane nazo kwenye debate
 
Huujui ulimwengu wewe. Haya.
Bravo Shivji kwa kutuelemisha.
 
Huujui ulimwengu wewe. Haya.
Bravo Shivji kwa kutuelemisha.
Uko sahihi kwa mtizamo wako sio wangu nauheshimu mtizamo wako
Ndio demokrasia tembea kifua mbele kwa huo mmtizamo wako sababu siiwezi Ingia kichwani kwako kuubadilisha na mimi natembea kifua mbele na msimamo. Wangu sababu huna uwezo kuingia kichwani kwangu kuubadilisha
 
Uchambuzi mzuri sana huu....

Nimejifunza mengi sana.
 
Article ya Prof Shivji inafikirisha sana kwa upande wetu TZ hasa kuhusu Msumbiji na interest za USA na France kwenye gas.

Kwamba Msumbiji inaweza kuwa na mgogoro (civil war) kwa muda mrefu mwisho wa siku kugawanyika.

Tumejipanga vipi kukabiliana na hii changamoto ikitokea.
 
Haelewi Msumbiji maraisi tulishaamua kuweka watanzania ili mpaka wetu na Msumbiji kuwa salama

Raisi wa sasa wa Msumbiji mtanzania kwao Kurasini kabomolewa hadi nyumba yake pale keko ufundi na fidia kalipwa vizuri

Ana uraia wa nchi mbili Msumbiji na Tanzania
 
Lift kwani walikua wanawapa hela za kulipia hizo media?
 
Mdau hebu kwanza jitoe kwenye box la kudhan russia ni nchi kwa ukraine kama Kenya kwa Tanzania.
Kuna nchi ni superpowers. Ikiwemo russia. Maslahi yake yanavuka mipaka ya russia yenyewe. Lakin maslahi ya Tz yanaishia kobero na horohoro
 
Issa Shivji hajawahi ipenda wala ikubali Israel kwa hiyo si ajabu kuwa na msimamo huo huyo ni pro palestine kindakindaki
 

Hata ku defend thesis ya degree huhitaji mabishano sembuse vita ya Russia na Ukraine?
Mzee tulikuwa wote kupambania chama kumbe mwenzetu unashabikia mabepari!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…