I think Professor Shivji can do better than this. From how I know him, he's smarter than this. I expected an in-depth, bold and unbiased Analysis on all angles of the subject. Sadly, he just popped up here with an nalysis that's no different from other biased and shallow fellas.
Kwa maoni yangu kuna watu wametoa analysis nzuri na zinazotoa funzo juu ya hili swala zaidi ya Prof Shivji alivofanya hapa. Kama kweli anataka tuheshimu maoni yake kama msomi juu ya hili swala kama anavo claim basi ilibidi adhihiriahe kweli kwa kugusa sehemu zote za huu mgogoro; ulianzia wapi, umefika wapi, suluhisho ni lipi na kwanini suluhisho liwe flani na lisiwe flani na yapi yatakua matokeo ya mgogoro huu in a long run, nani atafaidika na nini na nani atakosa nini na kwasababu gani itatokea hivo.
Based on the social, economic and plotical motives zilizopo currently na kihistoria, ilibid Prof adadavue kwelikweli ndo tuseme kaitendea haki mada sio kuja hapa na kutoa uchambuzi huu ambao mim nauona ni sawa na wa mtu wa kawaida kabisa ambaye ana mihemuko.
Au labda Kingereza ndo kimewachanganya wadau, kiasi kila mtu anasifia sana uzi akati ni kitu cha kawaida na hamna cha ajabu alichafanya Prof hapa[emoji23][emoji23]