permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ubepari ndio mfumo wa dunia kwa sasa. Ujamaa umebakia kwenye makaratasi kama vile Tanzania inavyojiita nchi ya kijamaa katika Sheria ila kiuhalisia ni ubepari mtupu.Mzee tulikuwa wote kupambania chama kumbe mwenzetu unashabikia mabepari!?
Unajua maana ya ubepari na misingi yake!?Ubepari ndio mfumo wa dunia kwa sasa. Ujamaa umebakia kwenye makaratasi kama vile Tanzania inavyojiita nchi ya kijamaa katika Sheria ila kiuhalisia ni ubepari mtupu.
Hili siyo swali.Unajua maana ya ubepari na misingi yake!?
Weeeeeée!!!!!!! Ni mtanzania?????Haelewi Msumbiji maraisi tulishaamua kuweka watanzania ili mpaka wetu na Msumbiji kuwa salama
Raisi wa sasa wa Msumbiji mtanzania kwao Kurasini kabomolewa hadi nyumba yake pale keko ufundi na fidia kalipwa vizuri
Ana uraia wa nchi mbili Msumbiji na Tanzania
Taira kweli ww unaifananisha Kenya na urusi kiazi kweli kabisa wwMsimamo wa Professor Shivji wa kinafiki eti yuko katikati
Ukraine ni nchi huru yaweza jiunga jumuiya yeyote bila kum mhusisha jirani.Yaweza alika majeshi yote yawe ya NATO kuweka vituo nchini kwake kwa ulinzi wake popote hata mpakani na Russia kinamuuma nini? Ohh in future waweza nishambulia .Wakushambulie kwa lipi?
Kenya viko vituo vya Marekani mbona hatujawahi bweka kushambulia Kenya kuwa in future waweza kushambulia?
Proffesa kaandika kinafiki.na unafiki uliojaa woga wa unknown asionekane yuko huku wala huku ohh yuko katikati mmmmm!!!!
Kifupi mada aliyoandika Proffessor Shivji imejaa maneno mengi ya kingereza kuliko hojaI think Professor Shivji can do better than this. From
Au labda Kingereza ndo kimewachanganya wadau, kiasi kila mtu anasifia sana uzi akati ni kitu cha kawaida na hamna cha ajabu alichafanya Prof hapa[emoji23][emoji23]
Mabepari sasa hivi hawairwi mapepari bali wawekezajiUbepari ndio mfumo wa dunia kwa sasa. Ujamaa umebakia kwenye makaratasi kama vile Tanzania inavyojiita nchi ya kijamaa katika Sheria ila kiuhalisia ni ubepari mtupu.
Who cares what you think?I think Professor Shivji can do better than this. From how I know him, he's smarter than this. I expected an in-depth, bold and unbiased Analysis on all angles of the subject. Sadly, he just popped up here with an nalysis that's no different from other biased and shallow fellas.
Kwa maoni yangu kuna watu wametoa analysis nzuri na zinazotoa funzo juu ya hili swala zaidi ya Prof Shivji alivofanya hapa. Kama kweli anataka tuheshimu maoni yake kama msomi juu ya hili swala kama anavo claim basi ilibidi adhihiriahe kweli kwa kugusa sehemu zote za huu mgogoro; ulianzia wapi, umefika wapi, suluhisho ni lipi na kwanini suluhisho liwe flani na lisiwe flani na yapi yatakua matokeo ya mgogoro huu in a long run, nani atafaidika na nini na nani atakosa nini na kwasababu gani itatokea hivo.
Based on the social, economic and plotical motives zilizopo currently na kihistoria, ilibid Prof adadavue kwelikweli ndo tuseme kaitendea haki mada sio kuja hapa na kutoa uchambuzi huu ambao mim nauona ni sawa na wa mtu wa kawaida kabisa ambaye ana mihemuko.
Au labda Kingereza ndo kimewachanganya wadau, kiasi kila mtu anasifia sana uzi akati ni kitu cha kawaida na hamna cha ajabu alichafanya Prof hapa[emoji23][emoji23]
Slava Ukraine✊I stand with Ukraine
Tunachaguliana misimamo ?Msimamo wa Professor Shivji wa kinafiki eti yuko katikati
Ukraine ni nchi huru yaweza jiunga jumuiya yeyote bila kum mhusisha jirani.Yaweza alika majeshi yote yawe ya NATO kuweka vituo nchini kwake kwa ulinzi wake popote hata mpakani na Russia kinamuuma nini? Ohh in future waweza nishambulia .Wakushambulie kwa lipi?
Kenya viko vituo vya Marekani mbona hatujawahi bweka kushambulia Kenya kuwa in future waweza kushambulia?
Proffesa kaandika kinafiki.na unafiki uliojaa woga wa unknown asionekane yuko huku wala huku ohh yuko katikati mmmmm!!!!
Kiingereza cha kuunga ungaI think Professor Shivji can do better than this. From how I know him, he's smarter than this. I expected an in-depth, bold and unbiased Analysis on all angles of the subject. Sadly, he just popped up here with an nalysis that's no different from other biased and shallow fellas.