Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake.

Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake..

Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee!

Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.

 
Back
Top Bottom