Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,720
- 2,688
si unajua tena, wanaume wa kingoni tunavyojua kunyenyekeaHiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si unajua tena, wanaume wa kingoni tunavyojua kunyenyekeaHiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa?
Hivi kweli Pesa na ....!kipi kitafika salama Liparamba au Mpitimbi au Elizaboni au bombambili?si unajua tena, wanaume wa kingoni tunavyojua kunyenyekea
Halafu wanakuja kuomba na michango kabisa ya harusiIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Maigizooo.. C mwanasiasa msaniiIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa Kwa washabiki wake...
Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha Pete wa Kwake...
Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee...
Ila hilo shape!! Shikamoo mbunge
Mkuu tena usichelewe kama yupo humu ndan mwambie aniPMNitakupa Dada yangu
Nashangaa snIna maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Nipige kwani mim ni mwanamkeWewe hutapiga?