Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Prof J aachana na ukapera, afuata nyayo za A.Y

Mwanaume mzima unapiga magoti?hii nayo ni matatizo
 
Hivi wale waliokuwa wanasema Professor kaukwaa hizo stori walizitoa wapi? Maana nilianza kuzisikia zaidi ya miaka kumi iliyopita
 
Back
Top Bottom