Prof J afiwa na mama yake mzazi

Prof J afiwa na mama yake mzazi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Kwa mujibu wa DjChoka kupitia ukurasa wake wa instagram ni kuwa mama yake msanii nguli Prof Jay amefariki usiku huu hospitali ya Tumbi baada ya ajali ya gari Mbezi Mwisho.

.I.P mama Joseph Haule.
 
Nakumbuka nilimuona huyu mama akiwa na prof Jay kwenye kipindi cha Bongo Beats kama mwezi na nusu uliopita. Alikuwa mchangamfu sana.
Najua inauma sana kwa prof. Jay,kama ambavyo yeyote angeumia.
May her soul R.I.P
 
Pole mama yetu!Mungu akupe mapumziko na raha ya milele!amen
 
Da mara ya mwisho kumuona alikuwa kwenye kipindi cha bongo beats star tv na sauda mwilima.
 
Back
Top Bottom