Prof J afiwa na mama yake mzazi

Prof J afiwa na mama yake mzazi

Kamanda Mungu akupe roho ya kuvumilia ktk kipindi hiki kigumu, kinachoumiza zaidi Mama hukufanikiwa kuona nchi inarudi mikononi mwa wanyonge (2015) ambao mtoto wake amewapigania kwa njia tofauti,
 
Mwenyezi Mungu amuweke mama Prof.J mahala anapostahili,AMEEN.
Haya wakati umewadia wa superstar wetu wa Bongo kuonyeshana mbwembwe misibani
 
Back
Top Bottom