Kwa mujibu wa DjChoka kupitia ukurasa wake wa instagram ni kuwa mama yake msanii nguli Prof Jay amefariki usiku huu hospitali ya Tumbi baada ya ajali ya gari Mbezi Mwisho.
Nakumbuka nilimuona huyu mama akiwa na prof Jay kwenye kipindi cha Bongo Beats kama mwezi na nusu uliopita. Alikuwa mchangamfu sana.
Najua inauma sana kwa prof. Jay,kama ambavyo yeyote angeumia.
May her soul R.I.P