Prof J afiwa na mama yake mzazi

Poleni Sana Wafiwa.

R.I.P Mama!
 
Nilimuona huyo mama kwenye kipindi flani cha tv siku za karibuni.
R.I.P mama.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Nakumbuka nilimuona huyu mama akiwa na prof Jay kwenye kipindi cha Bongo Beats kama mwezi na nusu uliopita. Alikuwa mchangamfu sana.
Najua inauma sana kwa prof. Jay,kama ambavyo yeyote angeumia.
May her soul R.I.P

Hata mi nilimuona, alikua poa sana, apumzike kwa amani.
 
Poleni sana. Yaani wa mama wa wasanii pia wametwaliwa kweli mwaka huu. Pole Prof. Jay. Pole Z-Anto, Pole Barnaba na pole wote
Nakumbuka nilimwona pia katika Bongo Beats...
 
Mamaaaaa wa ukweli nenda mwambie ukweli nyerere kuwa mambo cyo bongo rip
 
pole sana J. Ni juzi tu nilimwona mzazi kupitia tv akiwa na afya njema nikajiuliza ni ugonjwa gani tena. Kumbe ajali. Rip
 
Huyu jamaa atafanya makubwa sana chamani during campaigns.tunamuhitaji sana
 
Sijasikia mnyika akitoa tamko kufuatia huu msiba hata pole pia
 
Tunamuombea mungu ampe roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu na neno pekee kwake namwambia ajipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…