Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Niliwahi kufika huko. Lkn hawakunikuta na kitu. Bei unazosema hazipo tofauti sana na usemacho.
 
Na mimi mwenye 37yrs still nakomea 52 kg sijui niseme nini
Nafikiri tuseme kwamba tuko vizuri.
Kuna mama mmoja katika maongezi maongez siku nikamgusia hili..Lilikua shombe shombe flan hiv lijishangaz la kipemba,likaniuliza umeoa? Nikasema ndio. bas likanikata jicho flan hiv halaf likaniambia kichokozi "kama ndio hivyo basi inaonekana unateseka sana huko nyumbani" . Nikaaga hapo hapo mbioo 😂😂😂😂
 
Na sa hv nimepunguza kula maana sitaki kunenepa kabisa
 
Yeye
Yeye anasema zaidi ya sentimita 40.

Sentimita 40 ni ndogo sana mpaka najiuliza huyu ni Profesa kweli ama ni kama hakina Profesa Maji Marefu
 
Magonjwa yapo tu, unakuta daktari naye ndo wa kwanza kuwa na magonjwa.. Tumtegemee Mungu.. Miili hii ametoa Mungu kwamba wengine wawe wembamba na wengine wanene.. Mbona wafupi au warefu hawasemangwi.. Huu ni uumbaji tuache haya mambo
Like serious? Mungu gani huyo? Mbona watu tunakuwa wajinga in the name of God?

Mungu hakukuumba ule hovyo. Wazazi siku hizi wanaongoza kwa kulisha watoto wao chips, juice za kopo na soda kila siku unategemea asiwe mnene?

Kwenye uislam, kuna funga ya siku 2 kwa wiki. Unaelewa faida zake kiafya? On the same context, masheikh wanaougua sana kisukari. Unadhani ni maamrisho ya Mungu?

Tuache kuwa wajinga kwa jina la Mungu.
 
Pombe pombe pombe zinamaliza wengi


Wapi wametaja Pombe hapo?
 
Anasema ukweli mchungu na wabongo hatupendi ukweli
Sio ukweli bhana huyo jamaa kazi yake ni kututishia tu, mara usile mkate, mara usile nyama, mara usinywe soda, yaani kila kitu kwake ni kibaya, huyo Doctor huwa anataka tuwe tunakula mchicha sijui mpaka uote tumboni
 
Sio ukweli bhana huyo jamaa kazi yake ni kututishia tu, mara usile mkate, mara usile nyama, mara usinywe soda, yaani kila kitu kwake ni kibaya, huyo Doctor huwa anataka tuwe tunakula mchicha sijui mpaka uote tumboni
If you don't eat proper food as medicine,you will eat proper dose of medicine as food.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…