Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Kwa hiyo mkuu kufagia uwanja nayo ni kazi ya kutumia nguvu

Inaonekana ni kitu poa tu lakini ni zoezi. Ukijiwekea utamaduni wa kufanya kazi za nyumbani mwenyewe bila kusaidiwa na wengine, ni zoezi moja tosha sana. Ndiyo maana wanawake (hasa wa zamani na wa vijijini) wanakuwa strong, maana anaamka asubuhi na kuwa active. Lakini wanaume hususan wastaafu wanaamka saa 4. Hiyo ni mbaya. Inalemaza mwili. Amka mapema anza na shughuli ndogo ndogo mpaka saa 4 umekuwa umefaidika zaidi kuliko anayeamka saa 4 na kunywa chai na kuanza kuangalia news.
 
Huyu jamaa bwege sana.

Kuna siku akasema ukinywa maji mengi unaweza kupata tatizo la moyo.

Anaona uchungu sana sisi kuishi kwa furaha

Mwenzio ni Mtaalam tena Proffessor wewe unamwita bwege?

Jamani tukubali maelekezo na elimu ya lishe toka kwa wataalam wetu, hawa wanakutana na mengi, wanaona mengi huko ktk kutibia watu mbalimbali, wanatamani watu tuepuke kuumwa na zaidi kuepuka kuangamizwa kwa kukosa maarifa.
 
Kwa maelezo ya Prof walokole wengi japo tunaonekana kama wendawazimu lakini kwa namna moja ama nyingine tunajali afya zetu maana fasting umekuwa utamaduni wa maisha.
Kila mwezi Kuna wiki za kufast,
Kila wiki kuna siku za kufast

Na Kila mwisho wa mwaka kamwezi mzima ka kufast...
Kwa style hii,uzito kupita kiasi hakuna namna utakunyemelea maana ni tizi
Ukiongezeka tu kidogo,muda wafasting unafika unajikuta unarudi kwenye default mode.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa wengi wako kwenye risk ya kuugua hayo magonjwa sababu ya unywaji chai na wengi ni watumiaji wazuri wa sukari hapa ndoshida inapoanzia
 
Mwenzio ni Mtaalam tena Proffessor wewe unamwita bwege?

Jamani tukubali maelekezo na elimu ya lishe toka kwa wataalam wetu, hawa wanakutana na mengi, wanaona mengi huko ktk kutibia watu mbalimbali, wanatamani watu tuepuke kuumwa na zaidi kuepuka kuangamizwa kwa kukosa maarifa.
Profesa my foot.
Katika watu ambao wana narrow thinking wengi ni maprofesa. Tuna maprofesa kila sekta na taabu zimekuwa maradufu.

Atuache kwanza
 
Back
Top Bottom