Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

Kwa maelezo ya Prof walokole wengi japo tunaonekana kama wendawazimu lakini kwa namna moja ama nyingine tunajali afya zetu maana fasting umekuwa utamaduni wa maisha.
Kila mwezi Kuna wiki za kufast,
Kila wiki kuna siku za kufast

Na Kila mwisho wa mwaka kamwezi mzima ka kufast...
Kwa style hii,uzito kupita kiasi hakuna namna utakunyemelea maana ni tizi
Ukiongezeka tu kidogo,muda wafasting unafika unajikuta unarudi kwenye default mode.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magonjwa yapo tu, unakuta daktari naye ndo wa kwanza kuwa na magonjwa.. Tumtegemee Mungu.. Miili hii ametoa Mungu kwamba wengine wawe wembamba na wengine wanene.. Mbona wafupi au warefu hawasemangwi.. Huu ni uumbaji tuache haya mambo
Mbona wenzetu wanene mnapenda sana kumshirikisha Mungu kwenye miili?
 
Back
Top Bottom