Prof Janabi kashindwa Muhimbili, Huduma ni mbovu, malalamiko ni Mengi, huko WHO hafai kuongoza.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu.

Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa.

Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa sana na wadau wengi wanao enda kutibiwa kule.

Sasa kama Muhimbili kashindwa vipi huko WHO? Janabi anapaswa kutuonyesha alivyo fanikiwa Muhimbili kwanza kabla ya huko.

Tunapaswa kuwaonyesha jambo, na sio kuwa mazezeta kwa kila jambo na kuburuzwa tu.
 
Kwani Ndugulile alifanikiwa kitu gani
 
Samia ana mihemuko ya udini, inamsumbua sana
 
Mwenzako ndo jiniaz wa tiba Tanzania yote

Aemsogezwa ikulu ili aonekane ni mzoefu kwenye kusimamia sera
 
Kwani Ndugulile alifanikiwa kitu gani
Ndugulile aliomba kazi WHO mwenyewe na baadaye akaanza kuomba viongozi wamuunge mkono, Hakupendekezwa na Samia, hebu angalia hiyo Tofauti.

Wakati wa Corona Ndugulile aliweka Wazi msimamo wake akipinga Ushirikina wa serikali ya Tanzania, ulimsikia Janabi?
 
Madudu yake yaanze kuanikwa hapa mpaka atakimbia nchi
 
Maprofesa wa Nchi hii wengi ni Bogus.
 
Ushaambiwa anaitwa janaba.
 
Janabi kapandisha sana gharama za matitabu huku yeye akitibuwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…