Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Naunga mkono hoja, anajitahidi kwa kweli..Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki.
Kifo hakizuiliki Mzee omba sana Mungu tuishi muda mrefu usio na magonjwaDeath rate imepungua kwa kiasi gani kwenye taasisi anayoisimamia
Angepewa Tanesco Sasa hiv tungekuwa tunatumiana umeme kwenye simu. πππ
Karibu anastaafu ' Mrusi' wetu., baada ya hapo atateuliwa kuwa Mwenye Kiti wa bodi ya Tanesco. By the way ualimu umo kwenye DNA yake.Angepewa Tanesco Sasa hiv tungekuwa tunatumiana umeme kwenye simu. πππ
Kuna vifo visivyozuilika, ila Muhimbili ilitamalaki kwa rushwa na vifo vya kizembe, je kwa nafasi yake ameleta maboresho gani kuyaepuka hayo? Ndiyo swali langu.Kifo hakizuiliki Mzee omba sana Mungu tuishi muda mrefu usio na magonjwa
Kuna inshu ya kiutendaji na kiuongozi hayo ya rushwa na vifo vya kizembe n individual issue ila kiuongozi unaona kabisa Kuna vitu amejitahid kuvifanyaKuna vifo visivyozuilika, ila Muhimbili ilitamalaki kwa rushwa na vifo vya kizembe, je kwa nafasi yake ameleta maboresho gani kuyaepuka hayo? Ndiyo swali langu.